Malaga
jamii ya Wikimedia
(Elekezwa kutoka Málaga)
Malaga ni mji (manispaa) wa Hispania, makao makuu ya mkoa wa Málaga katika Jimbo la Andalusia.
Tarehe 1 Januari 2019 wakazi wake walikuwa 571,026, ukiwa jiji la pili lenye watu wengi Andalusia na mji wa sita nchini kwa wingi wa watu.
Pia ni jiji kubwa kati ya majiji yaliyopo kusini kabisa mwa Ulaya: liko katika Costa del Sol (Pwani ya Jua) ya Mediteranea, kilomita 100 (maili 62.14) mashariki kwa Mlangobahari wa Gibraltar na kilomita 130 (maili 80.78) kaskazini kwa Afrika.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririAngalia mengine kuhusu Málaga kwenye miradi mingine ya Wikimedia: | |
picha na media kutoka Commons | |
misaada ya kujisomea kwa Kiingereza kutoka Wikiversity | |
nukuu kutoka Wikiquote | |
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource |
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Malaga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |