Rekodi kuu za umma

Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za Wikipedia kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).

Kumbukumbu
  • 09:51, 19 Julai 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Fredrick Bundala (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Fredrick Bundala alizaliwa {{birth date and age|df=yes|1982|12|01}} ni Mwandishi wa habari na Mjasiriamali. Ni Mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Lerock Media Group inayo miliki luninga mtandao maarufu kwa jina la [https://sns.co.tz/ Simulizi na Sauti] ambayo inapatikana katika Mitandao ya Kijamii hasa Youtube. Pia ni mwanzilishi mwenza wa kampuni ya MindTap Tanzania Limited. {{Infobox Person|jina=Fredrick Bundala.jpg|jina la kuzaliwa=...') Tag: KihaririOneshi
  • 12:27, 26 Mei 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Kili Paul (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Jina lake kamili ni Yusufu Paul Kimesera, Na jina maarufu ni Kili Paul. Alizaliwa {{birth date and age|1994|10|09|df=yes}}. Ni mmasai maarufu nchini Tanzania, Africa Mashariki, Nchini India na nchi nyingine kwa Umahiri wake katika mitandao ya Kijamii hasa Tiktok na Instagram hasa kwa mtindo wake wa kucheza nyimbo za wasanii mbali mbali na hasa wasanii kutoka nchini India.<ref>{{Cite web|title=Kili Paul and Neema: A show of the power of social media|url=htt...') Tag: KihaririOneshi
  • 06:23, 22 Mei 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Israel Mbonyicyambu (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ni maarufu kwa jina la Israel Mbonyi, alizaliwa tarehe 20 mwezi wa Tano mwaka 1992 nchini Congo. Wazazi wote wawili ni wakristo na ni raia wa nchini Rwanda.<ref>https://www.pulselive.co.ke/entertainment/music/biography-of-rwandan-gospel-musician-israel-mbonyi-net-worth-wife-awards-and-more/0sz0fn1</ref>') Tag: KihaririOneshi
  • 15:35, 10 Mei 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Elia Timotheo (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ni mtanzania mfanya biashara katika sekta ya mazao ya kilimo anaye fahamika kwa kuanzika kampuni ya East Africa Fruits ambayo ni moja ya makampuni makubwa nchini Tanzania. Kampuni hii inajihusisha na kuuza matunda ndani na nje ya Tanzania huku lengo likiwa ni kuongeza thamani kwa mkulima ambaye ameyalima mazao hayo ili aweze kunufaika na kuwa na maisha bora.<ref>{{Cite web|title=Shortening the long road between farmer and consumer: The...') Tag: KihaririOneshi
  • 15:13, 8 Aprili 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Godfrey Calvin Magila (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Godfrey Calvin Magila Alizaliwa tarehe 28 mwezi wa pili mwaka 1992 mkoani mbeya. Ni mhasibu kwa Taaluma na ni Mwana TEHAMA mwanzilishi wa Kampuni ya Magilatech ambayo inajihusisha na kutengeneza mifumo mbali mbali ya Kompytuta . Magila Ni mmoja kati ya vijana walio anzisha makampuni wakiwa na umri mdogo ndani ya Tanzania na kuweza kufanikiwa. == Maisha Yake == Akiwa na umri wa miaka 5 Godfrey alipata pigo la kufiwa na mama yaje mzazi ingawa hakuwahi kule...') Tag: KihaririOneshi
  • 11:20, 6 Aprili 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Wilhelm Caspar Oddo (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Wilhelm Caspar Oddo alizaliwa tarehe 02 mwezi wa 6 Mwaka 1987. Ni Mwana Tehama, Mwandishi, Mjasiriamali Jamii na Mfanya Biashara. Anafahamika zaidi kwa kuwa muasisi wa Chuo cha NLab Innovation Academy ambacho kabla ya kuwa chuo ilikuwa na Hatamizi ya wazi kwa wanafunzi na vijana ili kuweza jifunza kutengeneza mifumo ya kitehama bure pasipo malipo yoyote huku ikiwasaidia vijana wakike na wakiume kuanzisha miradi yenye kusaidia jamii na kutengeneza mazin...') Tag: KihaririOneshi
  • 10:50, 30 Machi 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Mohamed Yakub Janabi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Profesa Mohamed Janabi ni Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mwaka 2005 alichaguliwa kuwa daktari binafsi wa Rais mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Elimu yake Dkt. Janabi amepata kusoma katika vyuo mbali mbali ndani na nje ya Tanzania. Vyuo hivyo ni pamoja na:- # Kharkov Medical Institute (Russia) # Liverpool School of Tropical Medicine (England) # University of Queensland Medical School (Australia) # Graduate Schoo...')
  • 05:30, 17 Machi 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Alexander Donald Gwebe Nyirenda (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Alizaliwa tarehe 2 mwezi wa pili mwaka 1936 katika mji wa Karonga nchini Malawi na hii ni kutokana na wazazi wake kuwepo nchini Malawi wakisherekea sikukuu ya Noeli (Christmas) wakitokea Tanganyika. <ref>https://swahilitimes.co.tz/2021/10/historia-simulizi-fupi-ya-brigedia-nyirenda-walivyopandisha-mwenge-wa-uhuru-mlima-kilimanjaro-1961/</ref> == Elimu yake == Alisoma katika shule ya msingi ya Mchikichini jijini Dar es salaam. Alipo maliza elimu ya msingi...') Tag: KihaririOneshi
  • 03:15, 14 Machi 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Kinu innovation hub (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Hatamizi iliyo anzishwa mwaka 2011 na vijana sita wa kitanzania. Ilikuwa nisehemu ya wazi kwa vijana wenye ujuzi wa kuandika Mistari ya Code za Computer ili kutengeneza mifumo na tovuti zenye kutatua changamoto mbali mbali katika jamii. Pai ilikuwa ni sehemu ya kujadili mambo yanayo husu mabadiliko na ujuzi mpya katka ulimwengu wa biashara na Teknolojia. <ref>https://bongo5.com/january-makamba-azindua-rasmi-tuzo-za-under-30-youth-ashauri-ziwatambue-pia-vij...') Tag: KihaririOneshi
  • 02:46, 14 Machi 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Catherinerose Barretto (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ni mwanzilishi mwenza wa makampuni ya Pamoja Initiative Ltd (inayo husika na mambo ya ajira, uteuzi, mafunzo na ushauri), KINU group of Companies ambayo inafahamika zaidi kwa kuwa na moja ya hatamizi binafsi za mwanzo zilizo jihusisha na mambo ya Teknolojia na biashara nchini Tanzania iliyo fahamika kwa jina la KINU Innovation Hub. <ref>{{Cite web|title=Catherinerose Barretto {{!}} WSA|url=https://wsa-global.org/person/3539/|accessdate=2024-03-14|language=...') Tag: KihaririOneshi
  • 10:19, 9 Machi 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Neema Mduma, PhD (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '== Maisha yake == Alizaliwa {{birth date and age|df=yes|1989|10|21}}, mkoani Morogoro ambapo Baba yake ni Mchungani wa kanisa na mama yake ni mwalimu. Neema Mduma ni mwanazuoni, daktari aliye bobea kwenye taaluma ya sayansi na teknolojia. Ni moja kati ya madaktari walio wahi pata Udaktari katika umri mdogo nchini Tanzania na kuwa kati ya wachache wenye kuwatia ari mabinti wengine katika masuala ya elimu hususani Masomo yenye kuhusisha Sayansi na hesabu....') Tag: Visual edit: Switched
  • 03:35, 18 Februari 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Felician V. M. Nkwera (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Felician Venant Nkwera alizaliwa mwaka 1936 na kuwa Padri mwaka 1968<ref>[https://peacefulsocieties.uncg.edu/2010/06/24/dissident-catholic-cult-simmers-in-fipa-territory/#:~:text=The%20story%20goes%20back%20to,Madunda%20Parish%2C%20in%20northern%20Tanzania. https://peacefulsocieties.uncg.edu/2010/06/24/dissident-catholic-cult-simmers-in-fipa-territory/#:~:text=The%20story%20goes%20back%20to,Madunda%20Parish%2C%20in%20northern%20Tanzania.]</ref> Maisha yak...') Tags: KihaririOneshi Angalia uhariri (marejeleo) imeamilishwa
  • 12:08, 6 Februari 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Girls Like Us (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Ni filamu / Video fupi iliyo tengenezwa mwaka 2016 ikiongozwa na '''Pond Ripple Media, LLC,''' yenye kuyaangazia maisha ya binti wa kitanzania mwenye ndoto za kufika mbali kimaisha<ref name=":0">{{Citation|last=Abroad|first=Actuality|title=Girls Like Us|date=2016-09-22|url=https://vimeo.com/183845870|access-date=2024-02-06}}</ref> {{Infobox television film|name=<Girls Like Us>|jina=Girls Like Us|muda=Dakika 3 na Sekunde 25|mwongozaji=C. Dallas Golden|sine...') Tags: KihaririOneshi Angalia uhariri (marejeleo) imeamilishwa
  • 08:06, 5 Februari 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Modesta Joseph Msabila (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Modesta Joseph Msabila {{birth date and age|df=yes|2000|08|12}} ni Mwanaharakati, Mjasiriamali Jamii ambaye anatumia Technolojia ya Habari na mawasiliano katika kuisaidia jamii yake nchini Tanzania, Ni mwanzilishi wa Tovuti iliyo itwa "Our Cries" aliyo ianzisha akiwa na umri wa miaka Kumi na Sita tu na kuweza shinda Tuzo mbali mbali ndani na nje ya Tanzania.')
  • 07:49, 5 Februari 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Majadiliano:Modesta Joseph Msabila (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Modesta Joseph Msabila (alizaliwa 20 Juni 2000 (umri 37) ni mwanasayansi')
  • 16:31, 4 Januari 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Wilhelm Caspar Oddo (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '<inputbox> type=create width=100 break=no buttonlabel=Create new article default=(Article title) </inputbox>')
  • 14:24, 4 Januari 2024 Madenge Nyerere majadiliano michango created page Majadiliano:Carolyne Ekyarisiima (Namna ya Kuiendeleza Kurasa ya Carolyne Ekyarisiima: mjadala mpya) Tag: New topic
  • 14:20, 4 Januari 2024 Akaunti ya mtumiaji Madenge Nyerere majadiliano michango ilianzishwa na mashine