Hermoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{coord|33|24|58|N|35|51|27|E|type:mountain_scale:100000|format=dms|display=inline,title}} '''Hermoni''' (kwa Kiarabu: '''جبل الشيخ''', ''jabal-ash-...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:54, 1 Desemba 2017

33°24′58″N 35°51′27″E / 33.41611°N 35.85750°E / 33.41611; 35.85750 Hermoni (kwa Kiarabu: جبل الشيخ, jabal-ash-Shaikh, yaani "mlima wa shehe"; kwa Kiebrania: הר חרמון‎‎, Har Hermon) ni mlima wa Siria na Lebanoni ulio mrefu kuliko yote ya safu ya Lebanoni Ndogo na ya Siria nzima, ukiwa na kimo cha m 2,814 juu ya UB.

Kileleni kuna theluji ya kudumu na ni chanzo cha mto Yordani.

Unatajwa katika Biblia (Zaburi 42; 133:3; Wimbo Ulio Bora 4:8).