Paulo Wu Juan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Wafiadini Wakatoliki wa China.]] '''{{PAGENAME}}''' (Xihetou, 1838 hivi - Xiaoluyi, 29 Juni 19...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:42, 27 Agosti 2019

Paulo Wu Juan (Xihetou, 1838 hivi - Xiaoluyi, 29 Juni 1900) alikuwa mlei wa China aliyefia Ukristo.

Wafiadini Wakatoliki wa China.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai.

Tazama pia

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.