Alama dola : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Alama dola''' au '''$''' (kwa Kiingereza: "dollar sign" au "peso sign") ni alama inatumika ili kuonyesha vitengo vya fedha nyingi. Alama dola hu...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 09:59, 11 Oktoba 2020

Alama dola au $ (kwa Kiingereza: "dollar sign" au "peso sign") ni alama inatumika ili kuonyesha vitengo vya fedha nyingi.

Alama dola hutumika katika lugha za programu pia. Msimbo Unicode wa alama dola ni U+0024. Alama dola hutumika katika lugha za programu kama Javascript, PHP au Python.

Marejeo

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).