Sabino wa Spoleto : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Mt. Sabinus akimhubiria [[gavana Venustian.]] '''Sabino wa Spoleto''' (alifia dini ya Ukristo mwaka 300 hivi) alikuwa askofu wa mji wa Spoleto, Italia wakati wa dhuluma ya kaisari Diocletian<ref>http://www.santiebeati.it/dettaglio/91900</ref>. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa ta...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:51, 20 Novemba 2021

Sabino wa Spoleto (alifia dini ya Ukristo mwaka 300 hivi) alikuwa askofu wa mji wa Spoleto, Italia wakati wa dhuluma ya kaisari Diocletian[1].

Mt. Sabinus akimhubiria gavana Venustian.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Desemba[2].

Tazama pia

Marejeo

  • Englebert, Omer. "The Lives of the Saints." Anne and Christopher Fremantle, trans. Nihil obstat 1954. New York: Barnes & Noble, 1994, p. 494-495

Viungo vya nje

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91900
  2. Martyrologium Romanum