Lusia wa Sirakusa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|250px|''Mt. Lusia'' alivyochorwa na [[Domenico Beccafumi, 1521, (Pinacoteca Nazionale (...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:06, 31 Machi 2013

Lusia wa Sirakusa (283304), maarufu kama Mtakatifu Lusia alikuwa msichana bikira na tajiri wa Sirakusa, Sicilia, Italia ambaye alitetea imani yake ya Kikristo hadi kuuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano.

Mt. Lusia alivyochorwa na Domenico Beccafumi, 1521, (Pinacoteca Nazionale, Siena)

Kwa sababu hiyo anaheshimiwa tangu zamani kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Desemba.

Anachorwa akishika mkononi sinia yenye macho yake aliyonyofolewa kabla hajauawa.

Viungo vya nje

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.