Baraza la mawaziri Tanzania 2015 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Baraza la Mawaziri la Tanzania ni ngazi ya juu ya serikali au mkono wa utendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mfumo ya mgawanyo wa madaraka....'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:53, 11 Desemba 2015

Baraza la Mawaziri la Tanzania ni ngazi ya juu ya serikali au mkono wa utendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mfumo ya mgawanyo wa madaraka.

Baraza hili linafanywa na rais, makamu wa rais, rais wa Zanzibar, waziri mkuu na mawaziri wote. [1] Manaibu mawaziri si sehemu ya baraza. Mwanasheria Mkuu anashiriki katika mikutano ya baraza bila haki ya kupiga kura.

Mikutano ya baraza inaongozwa na Rais kama mwenyekiti, kama hayupo na Makamu wa Rais na kama wote wawili hawapo na Waziri Mkuu.[2]

Chama anakotoka Chama Cha Mapinduzi
Baraza la mawaziri la Tanzania: tangu Novemba 2015[3][4][5]
Portrait Portfolio Incumbent
Raisi
Amiri jeshi mkuu wa jeshi
Dr. John Magufuli
Makamu wa Rais Samia Suluhu
Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Waziri wa Ofisi ya Raisi
TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora
George Simbachawene
Waziri wa Ofisi ya Raisi
TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora
Angellah Kairuki
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais
Masuala ya Muungano, Mazingira
January Makamba
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Jenista Mhagama
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba
Wizara ya Katiba na Sheria Dr. Harrison Mwakyembe
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Mwinyi
Wizara ya Elimu, Teknolojia na Ufundi (hajateuliwa bado 11 Disemba 2015)
Faili:Prof muhongo pic.jpg Wizara ya Nishati na Madini Sospeter Muhongo
Wizara ya Fedha na Mipango (hajateuliwa bado 11 Disemba 2015)
Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Augustine Mahiga
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
Wizara ya Mambo ya Ndani Charles Kitwanga
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage
Wizara wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Nape Nnauye
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
Wizara ya Maliasili na Utalii (hajateuliwa bado 11 Disemba 2015)
Wizara ya Maji na Umwagiliaji Makame Mbarawa
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (hajateuliwa bado 11 Disemba 2015)
(anahudguria mikutano ya baraza la mawaziri bila kupiga kura
Mwanasheria Mkuu wa Tanzania George Masaju


Marejeo

  1. "Cabinet of Tanzania". tanzania.go.tz. May 2012. Iliwekwa mnamo May 2012.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Katiba ya Tanzania, fungu 54
  3. "Baraza la Mawaziri". Ikulu. 10 December 2015. Iliwekwa mnamo 11 December 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "Magufuli releases long awaited cabinet", 10 December 2015. 
  5. Chama Cha Mapinduzi [@ccm_tanzania] (10 December 2015). "Rais Magufuli atangaza Baraza la Mawaziri" (Tweet) (kwa Swahili). Iliwekwa mnamo 10 December 2015 – kutoka Twitter.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)