Waziri Mkuu wa Tanzania
Waziri Mkuu wa Tanzania ni msimamizi wa shughuli zote za serikali katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anawakilisha serikali katika bunge la taifa. Yuko chini ya mamlaka ya rais.[1] Anateuliwa na rais akihitaji kuthebitishwa na wabunge wengi.[2]
Waziri Mkuu si kiongozi wa serikali lakini anaongoza vikao vya baraza la mawaziri wakati rais na makamu wa rais hawapo.[3]
Mwaziri Wakuu wa Tanzania (1964– sasa)
hariri- Vyama
Tanganyika African National Union (TANU)
Chama Cha Mapinduzi (CCM)
№ | Picha | Name (mwaka wa kuzaliwa - kufariki dunia) |
Aliingia ofisini | Alitoka ofisini | Chama |
---|---|---|---|---|---|
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | |||||
Cheo kilofutwa (26 Aprili 1964 – 29 Oktoba 1964 | |||||
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | |||||
Cheo kilofutwa (29 Oktoba 1964 – 17 Februari 1972) | |||||
Rashidi Kawawa (1926–2009) |
17 Februari 1972 | 5 Februari 1977 | TANU | ||
(1) | 5 Februari 1977 | 13 Februari 1977 | CCM | ||
2 | Edward Sokoine (1938–1984) (1st time) |
13 Februari 1977 | 7 Novemba 1980 | CCM | |
3 | Cleopa Msuya (1931–) (1st time) |
7 Novemba 1980 | 24 Februari 1983 | CCM | |
(2) | Edward Sokoine (1938–1984) (2nd time) |
24 Februari 1983 | 12 Aprili 1984[4] | CCM | |
4 | Salim Ahmed Salim (1942–) |
24 Aprili 1984 | 5 Novemba 1985 | CCM | |
5 | Joseph Warioba (1940–) |
5 Novemba 1985 | 9 Novemba 1990 | CCM | |
6 | John Malecela (1934–) |
9 Novemba 1990 | 7 Desemba 1994 | CCM | |
(3) | Cleopa Msuya (1931–) (2nd time) |
7 Desemba 1994 | 28 Novemba 1995 | CCM | |
7 | Faili:Frederick SuMeie boston Desemba 2006.png | Frederick SuMeie (1950–) |
28 Novemba 1995 | 30 Desemba 2005 | CCM |
8 | Edward Lowassa (1953–) |
30 Desemba 2005 | 7 Februari 2008 | CCM | |
9 | Mizengo Pinda (1948–) |
9 Februari 2008 | 20 Novemba 2015 | CCM | |
10 | Kassim Majaliwa (1960–) |
20 Novemba 2015 | mwenye majukumu | CCM |
Marejeo
hariri- ↑ Katiba ya Tanzania, fungu 52: ana "ana madaraka juu ya udhibiti, usimamiaji, utekelezaji wa siku hata siku wa kazi na shughuli za serikali; ...atakuwa Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni; ...atatekeleza au kusababisha utekelezaji wa jambo lolote au mambo yoyote ambayo Rais ataagiza "
- ↑ Katiba ya Tanzania, fungu 51 ""Kutakuwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano atakayeteuliwa na Rais; ...uteuzi wake uwe umethibitishwa na Bunge kwa azimio litakaloungwa mkono na kura za Wabunge walio wengi."
- ↑ Katiba fungu 54,2
- ↑ Died in office.
See also
haririViungo vya Nje
hariri- World Statesmen - Tanzania
- Katiba ya Tanzania Ilihifadhiwa 17 Desemba 2010 kwenye Wayback Machine.