Open main menu

Machansela wa Ujerumani

Jengo la Machansela la mjini Berlin ndiyo kitako cha Machansela.

Chansela wa Ujerumani (kwa Kijerumani: Bundeskanzler, katika fasihi: chansela wa shirikisho) ni kiongozi wa serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani. Chansela wa Ujerumani huchaguliwa na jopu la wabunge wa shirikisho hilo la Ujerumani (Bundestag).

Chansela wa sasa wa Ujerumani ni Angela Merkel wa chama cha (CDU), ambaye ni mwanamke wa kwanza kuchaguliwa katika nafasi hiyo ya Uchansela.

Bundeskanzler (tangu 1949)Edit

Tazama piaEdit

MarejeoEdit