Maglori

Maglori[1] (alifariki 575 hivi) alikuwa mmonaki wa Welisi[2] aliyehamia Bretagne akawa huko askofu wa Dol[3], lakini aliacha jimbo akaanzisha monasteri karika kisiwa cha Sark[4],

Mt. Maglori alivyochorwa na Eugène Goyet (1798–1846), Église Saint-Jacques-du-Haut-Pas, Paris, Ufaransa.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Oktoba[5].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Maglorius, Maelor; also called Maglorius, Melorius, in Norman as Mannélyi, Peter Doyle (1996), Butler's Lives of the Saints, pp. 170–1and Maelor.
  2. Saint Magloire.
  3. Magloire (en).
  4. Joseph-Claude Poulin, L'hagiographie bretonne du Haut Moyen Age, (Thorbecke, 2009), pp. 199–234
  5. Martyrologium Romanum

MarejeoEdit

  • Peter Doyle (1996), Butler's Lives of the Saints, pp. 170–1
  • Joseph-Claude Poulin (2009), L'hagiographies bretonne du haut Moyen Age, pp. 199–234
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.