Majadiliano:Busawe
Latest comment: miaka 14 iliyopita by Kipala
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha makala ya Busawe. | |||
---|---|---|---|
|
|
Hii ni makala ya Busawe ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Tanzania, juhudi za pamoja katika kuboresha maeneo ya Tanzania kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
Nimerudisha hali ya awali kwa sababu 2: 1) ni kosa baya kufuta yaliyomo yote ya ukurasa na kuharibu kazi ya watu waliotangulia (isipokuwa kama hali ya awali ilikuwa baya). Hapa viungo vyote na habari za kimisngi zilifutwa 2) maandishi mapya yalikuwa a)Kiingereza kitupu na b) hayafai kwa kamusi elezo ni pendekezo la mradi fulani. --Kipala (majadiliano) 14:55, 10 Juni 2010 (UTC)