Majadiliano:Bwambo

Latest comment: miaka 10 iliyopita by Baba Tabita in topic Nyongeza

Nyongeza hariri

Tarehe 20 Agosti 2013, mtu asiyesajiliwa aliongeza yafuatayo akifuta yote mengine yaliyomo: "bwambo ni kata iloyoko wilayani same,bwambo ina oganaizasheni inayoitwa bwambo health farm inayomilikiwa na Agripa Elirehema,ambayo inahusiana na maswala ya afya katka jamii yote ya bwambo,tanzania,afrika na dunia kwa ujumla.ukipenda tembelea zaidi tovuti ya www.bwambohealth.blogspot.com." - Nimerejesha hali ya makala nikiingiza habari za nyongeza humo kurasani mwa majadiliano. --Baba Tabita (majadiliano) 14:15, 27 Agosti 2013 (UTC)Reply

Return to "Bwambo" page.