Majadiliano:Ilembula
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha makala ya Ilembula. | |||
---|---|---|---|
|
|
Hii ni makala ya Ilembula ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Tanzania, juhudi za pamoja katika kuboresha maeneo ya Tanzania kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
Ilembula ni jina lenye asili ya kibena lenye maana kuchipua nalo limetokana na mti ulioko sehemu iitwayo Igula ni kitongoji ktkt Ilembula mtihuo ulikua ukichipua kipindi cha kiangazi na masika na ndo sababu kuu ya kuitwa ilembula, kwa kibena huitwa {lilembula},mti huo upo mpaka hivi sasa ktk makao ya romani Kathorik ktk kitongoji cha Igula, hio ndio asili ya neno Ilembula
Start a discussion about Ilembula
Talk pages are where people discuss how to make content on Wikipedia the best that it can be. You can use this page to start a discussion with others about how to improve Ilembula.