Majadiliano:Irugwa
Latest comment: miezi 3 iliyopita by Lenard masota in topic Irugwa ni sehemu ambayo naona ikipata uwekezaji Kuna matunda naona yapo ni TU tunakosa namna ya kuwekeza kule kwa mfano vitu vingi tunavyo ingiza irugwa kunauwezekano mkubwa wa kuzalisha kulekule na watu wakapata hivyo vitu kwa wepesi Zaidi na kwa unafuu zaidi mfano vyakula, vinywaji, mavazi na huduma zingine kama huduma za kifedha ,huduma za kiafya, Kuna vitu kama sekta za burudani, Kuna vitu kadha wa kadhaa kama tukiwekeza irugwa inaweza leta manufaa, Kuna vitu kama ufundi, kama vile utengenezaji wa samani, welding, ujenzi naona kama tukiapata watu wakaamuka Katika maeneo haya irugwa inaweza amka... Au mnasemaje wadau
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha makala ya Irugwa. | |||
---|---|---|---|
|
|
Hii ni makala ya Irugwa ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Tanzania, juhudi za pamoja katika kuboresha maeneo ya Tanzania kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
Irugwa ni sehemu ambayo naona ikipata uwekezaji Kuna matunda naona yapo ni TU tunakosa namna ya kuwekeza kule kwa mfano vitu vingi tunavyo ingiza irugwa kunauwezekano mkubwa wa kuzalisha kulekule na watu wakapata hivyo vitu kwa wepesi Zaidi na kwa unafuu zaidi mfano vyakula, vinywaji, mavazi na huduma zingine kama huduma za kifedha ,huduma za kiafya, Kuna vitu kama sekta za burudani, Kuna vitu kadha wa kadhaa kama tukiwekeza irugwa inaweza leta manufaa, Kuna vitu kama ufundi, kama vile utengenezaji wa samani, welding, ujenzi naona kama tukiapata watu wakaamuka Katika maeneo haya irugwa inaweza amka... Au mnasemaje wadau
haririToa maoni, au kama unao uwezo wa kuwawezesha watu kuwekeza irugwa ni sehemu nzur piah ya kuwekeza kwa sababu irugwa inabadilika sana Lenard masota (majadiliano) 09:14, 11 Septemba 2024 (UTC)