Majadiliano:Karagwe
Haya ni Majadiliano kwa ajili ya kuboresha makala ya Karagwe. | |||
---|---|---|---|
|
|
Hii ni makala ya Karagwe ipo katika eneo la Wikipedia:Mradi wa Tanzania, juhudi za pamoja katika kuboresha maeneo ya Tanzania kwenye Wikipedia. Iwapo utapenda kushiriki, tafadhali tembelea ukurasa wa mradi, ambapo unaweza kujiunga na majadiliano na utazame orodha ya kazi zilizo wazi. |
Naomba kutoa ufafanuzi kidogo. Karagwe sio utemi mdogo wa kabila la Wahaya kama ilivyoelezwa hapo juu. Karagwe Kwa asili ni wilaya ya kabila la Wanyambo(Ab'hanyambo) na lugha yao ni Orunyambo. Kuwaita Wahaya ni kuwanyang'anya haki yao ya msingi ya kuwa kabila kubwa na huru linalojitegemea. Kuna Wahaya wachache waliohamia Karagwe katika harakati za kutafuta makazi na udongo wenye rutuba, nao wamejikita sana maeneo ya Keiso(Kaisho) na Mab'hira(Mabira) Upo ushaidi wa kutosha wa maandishi unaoelezea kabila la Wanyambo na jinsi mwingiliano wao na makabila mengine ulivyokuwa. Kwa maelezo zaidi soma kitabu cha Profesa Israel Katoke "The Karagwe kingdom" na Tanganyika Notes and Recods ya 1947" ukurasa wa 8-26.
Iliongezwa na mtumiaji asiyejiandikisha 196.41.59.62 tarehe 19 Juni 2009 (hariri) (tengua)
Start a discussion about Karagwe
Talk pages are where people discuss how to make content on Wikipedia the best that it can be. You can use this page to start a discussion with others about how to improve Karagwe.