katoro ni mji uliopo karibu na buseresere zimepakana ambapo jana tar 11/02/2013 limetokea tukio la kusikitisha mchungaji mmoja kanisa la A.I.C.T alichinja mbuzi na kondoo akapereka buchani kwa ajili ya kuuza na ndipo baazi ya waislam wakapata habari hizo na kuongozana mpaka kwenye bucha hiyo na kufanya vurugu pamoja na kuiizika ile nyama ili isiuzike tena muuzaji alinusulika baada ya kuchoropoka na kukimbia walipokuwa wakiondoka zao waislam hao ndipo walikutana na mchungaji mwingine wa kanisa la E.A.G.T aliyekuwa kwenye mizunguko yake nakuanza kumushamburia wakimtuhu kuwa ndio walewale na kusababisha kifo chake baadae polisi walifika na kuzima vuguvugu hilo kwa mabomu ya kutoa machozi na waislam hao ndipo wakatawanyika lasivyo yangekua makubwa zaidi ya hayo nahayo ndio yaliyo tokea KATORO wirayani GEITA mkoani GEITA [nimimi mwandishi wako AMIDU HARUNA wa GEITA phone no 0766394479 (imehamishwa kutoka matini ya makala yenyewe maana haina nafasi ndani ya makala Kipala (majadiliano) 18:35, 7 Novemba 2015 (UTC))Reply