Majadiliano:Kenya

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Aotearoa in topic Question about geographical names

Kipala: nini maana ya "Gadi wa Nyumbani"?

Ndesanjo, mimi sijaandika haya. Basi si Kiswahili cha Kikwanzaa (samahani!) lakini cha Kikenya, nadhani. Mwandishi alimaanisha "Homeguards" - hivyo jinsi wanamgambo walivyoitwa walioshirikiana na Waingereza kushinda Maumau. --Kipala 22:03, 12 Machi 2006 (UTC)Reply

Question about geographical names hariri

Can anyone translate to Swahili geographical names listed below? Aotearoa (majadiliano) 08:27, 16 Novemba 2009 (UTC)Reply

  • Mount Kenya National Park
  • White Highlands (area in the central uplands of Kenya)
Return to "Kenya" page.