Majadiliano:Kinampanda

Latest comment: miaka 6 iliyopita by Kipala

Maelezo ya kihistoria hayawezi kubaki jinsi yalivyo. Madai kuhusu umuhimu wa kitaifa yanahitaji vyanzo. Maelezo haya ni kama uvzumi tu. Hakuna majina, hakuna tarehe. Hata kama tunavumilia historia za kieneo bila kuonyesha vyanzo (sources) haiwezekani kufanya hivyo kama maelezo yanapita eneo lenyewe. Kipala (majadiliano) 10:19, 27 Desemba 2018 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Kinampanda ".