Majadiliano:Mkoa wa Tanga

Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Untitled


Untitled

hariri

Nashukuru kwa kuweza kumaliza kata zilizopo za Mkoa huu wa Tanga. Lakini pia nasikitika kusema kuwa Wilaya za Tanga zimeongezwa. Hivyo hazipo saba tena, bali zipo nane!!! Mimi nimeishia Kilindi kwa mujibu wa sensa za mwaka wa 2002. Sasa sijui kuhusu hilo jina jipya wanaliitaje!  Je, kuna anayefahamu hiyo Wilaya mpya inaitwaje?--Mwanaharakati (Longa) 13:43, 20 Desemba 2008 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Mkoa wa Tanga ".