Uwepo wa uranium Namtumbo itafaidisha vipi Rwinga hariri

Natanguliza shukrani kwa yeyote atakayechangia, hoja yangu ni jinsi gani wakazi wa Rwinga watafaidika na uwepo wa uranium (mchango wa mtumiaji asiyejiandikisha mwenye anwani ya 41.73.197.177 saa 13:13 tar. 12-06-2011)

Kwanza kabisa nashukuru kwa kutukumbusha juu ya matokeo mapya. Je una uwezo wa kuongeza habari kadhaa? Una sababu ya kuleta majadiliano hapa kwenye makala ya kata ya Rwinga? Eneo la mradi wa urani liko hapa au wapi katika wilaya ya Namtumbo? Menginevyo ni wazi kuna nafasi za maendeleo (ajira, barabara, nyuzi za umeme...) lakini pia hatari kama uharibifu wa mazigira, uchimbaji wa madini hatari na kadhlakia. Itategemea usimamizi na masharti kwa kampuni inayochimba. --Kipala (majadiliano) 19:01, 12 Juni 2011 (UTC)Reply
Return to "Rwinga" page.