Majadiliano:Somangira

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Je, jina ni Samangira au Somangira? Wikipedia ya Kiswahili inaandika la kwanza, wikipedia ya Kiingereza inaandika la pili. Ukigoogle, yote mawili yanapatikana sawasawa. --Baba Tabita (majadiliano) 10:27, 25 Juni 2010 (UTC)Reply

Ukiachia mbali kugoogle na kutazama kwenye Kiingereza - binafsi ungependekeza jina gani?--MwanaharakatiLonga 11:46, 25 Juni 2010 (UTC)Reply
Sioni kama pendekezo langu liamue swali hilo. Je, waishio huko wanapaitaje ndilo swali. Bwana Muddy, sio upo karibu na kata hiyo? Kweli ungeweza kutuambia. Sema tu :) --Baba Tabita (majadiliano) 14:14, 25 Juni 2010 (UTC)Reply
Si uongo. Nitawauliza moja ya marafiki zangu wanaoishi maeneo hayo. Ni jambo la taratibu.--MwanaharakatiLonga 14:27, 25 Juni 2010 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Somangira ".