Majadiliano:Uislamu huko Oceania

Latest comment: miaka 8 iliyopita by Muddyb Blast Producer in topic Kuhamisha kwenda "Uislamu katika Australia na Pasifiki"

Kuhamisha kwenda "Uislamu katika Australia na Pasifiki" hariri

Naona tuendelee kutumia "Australia na Pasifiki" kwa ing. "Oceania". KKS mpya ina "Australesia" kama jina kwa ajili ya "Oceania"; lakini hii ni "Australasia" iliyoswahilishwa kitahajia, isipokuwa hii ni sehemu ya "Oceania" tu (Australia, New Zealand, Guinea Mpya na visiwa jirani vya Melanesia) . Nisipokosei bado hakuna jina la Kiswahili linaloridhisha kwa hiyo tuendelee tu kwa "Australia na Pasifiki". Kipala (majadiliano) 13:42, 26 Aprili 2015 (UTC)Reply

Salaam, Mzee Kipala. Sawa. Ni jina sahihi kabisa. Mwanzo nilikosa kuona jina linalotaja Oshania. Endelea--MwanaharakatiLonga 15:53, 26 Aprili 2015 (UTC)Reply
Return to "Uislamu huko Oceania" page.