Majadiliano:Wilaya ya Rorya

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Kipala

Nani anajua ni kata zipi zilizoingia katika wilaya mpya ya Rorya? Maana nikiangalia habari za Rorya magazetini naona majina ya miji mitatu Shirati, Utegi na Randa. Lakini majina haya hayapo katika orodha ya kata ya sensa 2002 tulipochukua majina ya kata zote. Angalia majina chini ya makala ya wilaya ya Tarime inayoonyesha takwimu ya mwaka 2002 kabla ya kuanzhishwa kwa Rorya.--Kipala (majadiliano) 16:34, 30 Januari 2009 (UTC)Reply

Return to "Wilaya ya Rorya" page.