Majadiliano ya kigezo:Infobox Television Soap Opera

Masaada wa kuswahilisha baadhi ya maelezo katika vichwa vya habari hariri

Kuna baadhi ya maelezo yananishinda Kuswahilisha, yaani namna yalivyo sipati taswira nzuri. Maneno hayo ni kama ifuatavyo:

  1. Alternative titles MAJINA BADALA
  2. Creator - IMETUNGWA NA
  3. Head writer - MWANDISHI MKUU
  4. Channel - Kiswahili fasaha sielewi kabisaa PROGRAMU AU KITUO (yaani nchi nyingi huwa na vituo vya TV mbalimbali kwa mfano TZ kuna TVT, RTD, kituo cha Mengi sijui jina lake n.k.)


Naomba nisaidiwe kutafsiri kwa Kiswahili, hapa-hapa. Nitashukuru zaidi kama maandishi yataandikwa ndani ya template husika badala ya kuandikwa hapa! Ukiona muda hautokutosha kufanya hivyo basi nitafsirie hapa tu kisha nitayaamisha katika ukurasa wake wa template.--Mwanaharakati (majadiliano) 09:31, 12 Aprili 2008 (UTC)Reply

Return to "Infobox Television Soap Opera" page.