Majadiliano ya kigezo:Kata za Wilaya ya Mbarali

Latest comment: miaka 9 iliyopita by Kipala in topic KATA ZA WILAYA YA MBARALI

KATA ZA WILAYA YA MBARALI hariri

Kwa nini katika orodha ya kata za Mbarali baadhi ya kata hazipo? mfano kata za Miyombweni na Isisi hazipo! kwani kata hizo hazijakidhi vigezo vya kutangazwa kuwa kata? Ni vigezo gani vya msingi huzingatiwa kabla ya vijiji kadhaa kuunda kata moja? WADAU NAOMBA KUELIMISHWA. Makeresia Pawa Jibubu. LYAHAMILEEEEE

Mpendwa unauliza swali la maana. Hali halisi hatujamaliza kusahihisha makala za kata na wilaya na hasa kutunga makala kwa kata zote mpya. Kama una muda na nafasi nitafurahi kukusaidia kucahngia hapo. Kipala (majadiliano) 07:39, 4 Januari 2015 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Kata za Wilaya ya Mbarali ".