Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Alvin salaam, naona umeandika kwenye ukurasa wa Ndesanjo, lakini huyu anaingia mara chache tu. Sijaelewa ni kitu gani kinachokupa matatizo. Je umeonewa hapa kwenye swwiki? Na nani? Au nje yake? Kipala (majadiliano) 19:37, 9 Septemba 2020 (UTC)Reply

Halafu ombi: ukichangia kwenye kurasa za majadiliano, ku a utaratibu uache sahihi yako kwa kuandika ~~~~ , inayobadilika baadaya kuonyesha jina lako na tarehe. Kipala (majadiliano) 19:43, 9 Septemba 2020 (UTC)Reply

asanteAlvin kipchumba kosgei (majadiliano) 10:41, 10 Septemba 2020 (UTC) kuna kurasa katika swahili wikitionary tafadhali naomba uzitoe kwasababu ya vile maneno hayo hayajaandikwa vizuriAlvin kipchumba kosgei (majadiliano) 10:57, 10 Septemba 2020 (UTC) adhiminishahttps://sw.wiktionary.org/wiki/adhiminisha,adimshahttps://sw.wiktionary.org/wiki/adimshaAlvin kipchumba kosgei (majadiliano) 11:02, 10 Septemba 2020 (UTC)Reply

Wiktionary ni mradi tofauti. Basi njaribu kuangalia. Ila sijaelewa bado wapi na namna gani umeonewa? Kipala (majadiliano)

nilikuwa nimeona hiyo makala niliyotumanishiwa nikikaribishwa nikaoa kwamba nimeandikiwa kama huujui kiswahili nilichukulia vibaya lakini sasa nimeelewa kwamba kila mtu anatumanishiwa hivyopole sana sikujua hicho ndicho makaribishoAlvin kipchumba kosgei (majadiliano) 05:42, 11 Septemba 2020 (UTC)Reply