Bahati mohamed idd
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
- Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine
- Ukurasa wa mwongozo
- Jamii:Msaada (makala zilizomo humo zinaweza kusaidia mara nyingi)
- Ukurasa wa jumuia (pamoja na Wikipedia:Wakabidhi, penye majina walio tayari kukusaidia)
- Makala za msingi za Wikipedia
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
- usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
- usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
- usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
- usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
- do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
- nor copied texts/images from other webs to this site!
- do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
- do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
UTALII NCHINI TANZANIA.
haririUtalii ni kitendo cha kimkakati ambapo mtu au kundi la watu hutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la kujifunza ,kujistarehesha au kupumzika baada ya muda mrefu wa kazi mfano baada ya mwaka mzima kuzongwa na kazi huweza kupata mapumziko na kwenda kutalii katika mbuga za wanyama ,visiwani na hata katika nchi za kigeni.
Kuna aina kuu mbili za utalii nazo ni, Uralii wa ndani na utalii wa nje.
Utalii wa ndani ni aina ya utalii ambapo mtu huzungukia vivutio vilivyomo ndani ya nchi alipo mfano, pindi raia wa Tanzania anapotembela vivutio vilivyomo nchini humo mfano mbuga ya wanyama ya Serengeti,Mlima Kilimanjaro hii ni aina ya utalii wa ndani.
Utalii wa nje ni aina ya utaliia mbapo watu hutembelea nchi na mazingira yasiyo katika jamii na nchi zao husika, mfano eb endapo Raia wa Marekani wanapotembelea vivutio vilivyomo Tanzania hii ni aina ya utalii wa nje.
Bahati mohamed idd (majadiliano) 15:58, 3 Novemba 2024 (UTC)
Kuwa Makini
haririHabari ndugu @Bahati mohamed idd naona umebadili neno Ukimwi kwenda herufi kubwa UKIMWI, ukikuta neno limewekewa mabano kama [[Ukimwi]] maana yake icho ni kiungo cha ndani na aupaswi kufuta. Amani kwako Justine Msechu (majadiliano) 16:24, 3 Novemba 2024 (UTC)
- shukrani san kwa elimu Bahati mohamed idd (majadiliano) 16:34, 3 Novemba 2024 (UTC)
- Nimekufungia kwa sababu unaweka vitu havieleweki kwenye makala, na pia kabla ya kuchapisha makala angalia je ichi nilichobadilisha kinaonekanaje?, sasa nakupa nafasi ya kujifunza hayo kupitia ukurasa wako wa majadiliano ndipo ukishaelewa urudi kuhariri tena. Justine Msechu (majadiliano) 16:40, 3 Novemba 2024 (UTC)