Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Idd ninga (majadiliano) 11:50, 13 Julai 2021 (UTC)Reply

Kuhusu Uhariri

hariri

Salamu Edward, hongera kwa kuanzisha makala katika Wikipedia ya Kiswahili, napenda kukumbusha kuwa hebu pitia makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Nicola_Formby ni makala ambayo haipo katika muundo mzuri na inaonekana kuwepo dalili ya kutumia machine za kutafsiri katika makala hii, hivyo ni bora kuendelea kuboresha makala ulizoandika leo pamoja na kusoma namna ya kuanzisha makala kabla ya kuendelea na kuanzisha makalal mpya , Amani Sana Idd ninga (majadiliano) 20:52, 27 Oktoba 2021 (UTC)Reply

Taarifa ya kukuzuia!

Ndugu, imenibidi kukuzuia kwa sababu zinazotajwa chini. Wakati unapokuwa umezuiwa huwezi kuhariri isipokuwa penye huu ukurasa wako wa majadiliano. Unaweza kunijibu kwa kutumia “Email this user”.

Sababu ni kuwa umeingiza matini iliyopatikana kwa njia ya tafsiri ya kompyuta ikiwa na kasoro nzito ya lugha. Umearifiwa kwamba ni marufuku kumwaga matokeo ya google translate katika makala zetu. Wachangiaji wanaopuuza utaratibu huu wanasababisha hasara kubwa kwa Wikipedia yetu na kuwapa wengine kazi kubwa mno ya kusafisha makosa yao.

Bila shaka una nia nzuri kuchangia katika Wikipedia. Tutafurahi kushirikiana nawe lakini ni lazima ufuate utaratibu. Kazi yetu kama wakabidhi ni kulinda mradi huu.

Ukiwa tayari kufuata utaratibu pamoja na kupitia upya matini ulizozileta tayari, naomba uwasiliane nami kwa kufungua ukurasa wangu (bofya jina langu chini) na kuniandikia baruapepe kwa kubofya “Email this user” upande wa kushoto. Hapo nitaweza kukuruhusu tena. Hapo lazima uwezeshe njia kwa kufuata maelezo katika Wikipedia:Email.

Idd ninga (majadiliano) 17:42, 29 Oktoba 2021 (UTC)Reply

kaka habari ningeomba radhi kwakutumiya maneno ya mtandao samahani kaka naomba niendelee na majadilliyano Edward ambele (majadiliano) 08:11, 30 Oktoba 2021 (UTC)Reply
namba nifunguliwe kuhendeleya na makala Edward ambele (majadiliano) 08:12, 30 Oktoba 2021 (UTC)Reply
Salamu sana!hongera kwa kuendelea kuhariri Umeomba kufunguliwa lakini bado unaendelea na mtindo ule ule wa mwanzo embu pitia makala zako vizuri kabla ujachapisha. amani kwako Hussein m mmbaga (majadiliano) 14:21, 26 Aprili 2022 (UTC)Reply

Kuhusu Zuio

hariri

Salamu, tafadhali pitia katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Daphne_Courtney kuna dalili ya kutumika tafsiri ya kompyuta na pia maneno yamefanyiwa copy na kupaste moja kwa moja bila kwenda kufungua kurasa ya edit katika wikipedia ya kiingereza tafadhali tazama tena namna ya kuanzisha makala, pia typing error zinaonekana kuwa nyingi katika makala hiyo na makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Daphney_Hlomuka ,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 17:42, 29 Oktoba 2021 (UTC)Reply

Tafsiri

hariri

Salamu, unaonekana bado unaendelea kuleta tafsiri ya Kompyuta katika makala unazoanzisha, mfano ni makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Dany_Silva , pia makala hiyo katika Kiingereza ilikuwa na vyanzo lakini ulipoitafsiri haikuwa na chanzo hata kimoja, fanyia marekebisho kabla ya kuendelea na makala nyingine, Amani Sana Idd ninga (majadiliano) 21:54, 23 Aprili 2022 (UTC)Reply

Pitia pia katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Antonio_travadinha , kumbuka usilete makala nyingi zisofuata utaratibu wa uandishi, zingatia sana hilo Amani sana Idd ninga (majadiliano) 22:10, 23 Aprili 2022 (UTC)Reply

Vyanzo

hariri

Katika makala zako unazotafsiri katika kiingereza zinakuwa na vyanzo lakini unapoleta katika Kiswahili unaondoa vyanzo hivyo, inaonekana kwamba unacopy maneno ya kiingereza bila kufungua kitufe cha EDIT,ili kuanzisha makala, nenda katika makala ya kiingereza na ufungue neno EDIT kisha copy maneno yaliyopo ndani ya makala hiyo na kisha uje kupaste katika makala unayotaka kuanzisha,alama zinazoanziwa na [1] ndani yake ndipo kuna vyanzo,usifute wala kubadili kitu,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 09:45, 25 Aprili 2022 (UTC)Reply

Makosa kujirudia bado

hariri

Ndugu, uwe makini zaidi. Unatunga kurasa ambazo zipo tayari (kwa sababu hutafsiri musician kuwa mwanamuziki), unaweka jamii zenye makosa, kama vile: Watu wanaoishi badala ya Watu walio hai, unatumia vyanzo vya Wikipedia ya Kiingereza n.k. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:20, 3 Mei 2022 (UTC)Reply

Kwa kuwa unazidi kutumia tanbihi za en.wikipedia nakusimamisha kwa siku moja. Pole. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:13, 4 Mei 2022 (UTC)Reply
Ndugu, mbona husikii? Unataka nikuzuie tena? Sasa futa mwenyewe tanbihi zote za en.wikipedia katika makala zako za sw.wikipedia. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:38, 15 Mei 2022 (UTC)Reply
Naona ndugu umekua mgumu kusikia maelekezo, sasa utapewa likizo mpaka hapa utakapo jirekebisha. -- Olimasy (majadiliano)
Habari ndugu Naomba radhi sana nitafanya maboresho katika makala zangu nilizofanya Tafadhali naomba kufunguliwa. -- Edward ambele(majadiliaano)11:26 16 september 2022 (UTC)
Embu tizama mtiririko huu wa maonyo kisha jitathimini. Tutakuwa tunakuangalia. Olimasy (majadiliano)
habari kaka najaribu kuwariri makala najibiwa nimefungiwa mpaka sikuyakesho bado sijatambuwa tatizo ni nini mpaka sasa ningeomba usaidizi kwailo.--ambele (majadiliano)'
Ip 220.33.194, #2373.--ambele (majadiliano)'
Nakusimamisha tena siku moja. Angalia ubovu wa ukurasa wako wa mwisho. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:01, 27 Septemba 2022 (UTC)Reply
Karibu tena. Ukurasa juu ya Samuel N. Alexander si mbaya, lakini angalia nilivyousahihisha. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:37, 29 Septemba 2022 (UTC)Reply
Asante. kwarekebisho, Amani kwako! --Edward ambele (majadiliano)2:13, 29 septemba 20222 (UTC) [reply] Edward ambele (majadiliano) 11:14, 29 Septemba 2022 (UTC)Reply

Unazuiwa

hariri
Taarifa ya kukuzuia!

Ndugu, imenibidi kukuzuia kwa sababu zinazotajwa chini. Wakati unapokuwa umezuiwa huwezi kuhariri isipokuwa penye huu ukurasa wako wa majadiliano. Unaweza kunijibu kwa kutumia “Email this user”.

Sababu ni kuwa umeingiza matini iliyopatikana kwa njia ya tafsiri ya kompyuta ikiwa na kasoro nzito ya lugha. Umearifiwa kwamba ni marufuku kumwaga matokeo ya google translate katika makala zetu. Wachangiaji wanaopuuza utaratibu huu wanasababisha hasara kubwa kwa Wikipedia yetu na kuwapa wengine kazi kubwa mno ya kusafisha makosa yao.

Bila shaka una nia nzuri kuchangia katika Wikipedia. Tutafurahi kushirikiana nawe lakini ni lazima ufuate utaratibu. Kazi yetu kama wakabidhi ni kulinda mradi huu.

Ukiwa tayari kufuata utaratibu pamoja na kupitia upya matini ulizozileta tayari, naomba uwasiliane nami kwa kufungua ukurasa wangu (bofya jina langu chini) na kuniandikia baruapepe kwa kubofya “Email this user” upande wa kushoto. Hapo nitaweza kukuruhusu tena. Hapo lazima uwezeshe njia kwa kufuata maelezo katika Wikipedia:Email.

Kipala (majadiliano) 19:35, 19 Oktoba 2022 (UTC)Reply

Habari naomba radhi kwakuleta makala zisizo sahihi kuna maneno ambayo yalinishinda nikatumiya tafsiri naomba kuwa mwalimu wawengine kiuhusu hili bilashaka utapokeya ombilangu. Edward ambele (majadiliano) 05:13, 20 Oktoba 2022 (UTC)Reply
Ip 197.250.230.107 uzuio # 2408 Edward ambele (majadiliano) 05:16, 20 Oktoba 2022 (UTC)Reply
Naomba radhi nitafanya vema katika kazi zangu. Edward ambele (majadiliano) 05:17, 20 Oktoba 2022 (UTC)Reply
Habari ndugu kipala
Nimerudi tena azabu niliyopewa nimejifunza namakosa yote niliyofanya nitayafanyia kazi kwa umakini mkubwa namba radhi kwamakosa haya nitakuwa mtihifu kwanziya sasa natumaini ombilangu litapokewa. Edward ambele (majadiliano) 06:59, 23 Desemba 2022 (UTC)Reply
Tafathali ndugu kipala naomba kupewa nafasi nyingine IP ni 197.186.1.168 kitambulisho cha kuzuia ni # 2408
Taarifa ya kukuzuia!

Ndugu, imenibidi kukuzuia kwa sababu zinazotajwa chini. Wakati unapokuwa umezuiwa huwezi kuhariri isipokuwa penye huu ukurasa wako wa majadiliano. Unaweza kunijibu kwa kutumia “Email this user”.

Sababu ni kuwa umeingiza matini iliyopatikana kwa njia ya tafsiri ya kompyuta ikiwa na kasoro nzito ya lugha. Umearifiwa kwamba ni marufuku kumwaga matokeo ya google translate katika makala zetu. Wachangiaji wanaopuuza utaratibu huu wanasababisha hasara kubwa kwa Wikipedia yetu na kuwapa wengine kazi kubwa mno ya kusafisha makosa yao.

Bila shaka una nia nzuri kuchangia katika Wikipedia. Tutafurahi kushirikiana nawe lakini ni lazima ufuate utaratibu. Kazi yetu kama wakabidhi ni kulinda mradi huu.

Ukiwa tayari kufuata utaratibu pamoja na kupitia upya matini ulizozileta tayari, naomba uwasiliane nami kwa kufungua ukurasa wangu (bofya jina langu chini) na kuniandikia baruapepe kwa kubofya “Email this user” upande wa kushoto. Hapo nitaweza kukuruhusu tena. Hapo lazima uwezeshe njia kwa kufuata maelezo katika Wikipedia:Email.

Ndugu umerudia kuleta matini ulizonakili kutoka tafsiri ya kompyuta kwenye makala Conserving Carolina. Ulisahihisha kidogo sana lakini uliacha Kiswahili kibaya na kuunda kazi kwa wengine. Kipala (majadiliano) 09:48, 22 Mei 2023 (UTC)Reply

Salami ndugu kipala Makala ambazo nilijaribu kuhariri zilikuwa zawatu nilizo pitia nilijaribu kusahihisha bahazi naomba kupewa nafasi ya kupitia na kufanya maboresho. Edward ambele (majadiliano) 10:49, 22 Mei 2023 (UTC)Reply
Ndugu habari katika makala nilizo pitia zilikuwa za Watu walio fanya Kazi lakini zilikuwa namakosa naomba kufunguliwa Ili kufanya maboresho.@Kipala Edward ambele (majadiliano) 16:25, 4 Juni 2023 (UTC)Reply
Habari kipala niliacha ujumbe kuhusu kufunguliwa naomba kupewa nafasi kuboresha Makala nilizo kosea. @Kipala (majadiliano) Edward ambele (majadiliano) 13:12, 20 Juni 2023 (UTC)Reply

Masanduku na picha

hariri

Ndugu, unapoweka sanduku la mtu katika makala, angalia kusiwe na picha pacha: moja ndani, nyingine nje ya sanduku. Ikiwemo ndani, uondoe ile ya nje. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:51, 2 Septemba 2023 (UTC)Reply

Salamu @Riccardo Riccioni nimelirekebisha hilo Amani kwako! Edward ambele (majadiliano) 09:06, 2 Septemba 2023 (UTC)Reply
Ndugu, badala ya sanduku la watu wa kawaida, kuna [[Kigezo:Mtakatifu]] kwa watu wanaoheshimiwa hivyo kama wale wa mwisho uliowawekea sanduku leo. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:41, 5 Septemba 2023 (UTC)Reply
Salamu @Riccardo Riccioni nitafanya marekebisho Amani kwako! Edward ambele (majadiliano) 14:43, 5 Septemba 2023 (UTC)Reply
salamu @Rikado Naomba msaada wakupa Kigezo cha watakatifu.
Unavyoona, namna hiyo sanduku halisaidii, kwa maana linakuwa fremu ya picha tu. Kwanza mistari haijatafsiriwa kwa Kiswahili, halafu inatokea tu: Feast. Ingebidi kujaza taarifa sahihi kutokana na makala yenyewe, kwa mfano tarehe ya sikukuu ya mtakatifu husika. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:26, 28 Septemba 2023 (UTC)Reply
@Riccardo Riccionisawa nitafanya ivo kwamaelekezo sahhi amani sana! 197.250.63.196 15:01, 28 Septemba 2023 (UTC)Reply

Vyanzo, marejeo, lugha, kiungo

hariri

Habari ndugu, hongera kwa kuanzisha makala na kuchangia vyema, naona bado unaanzisha makala bila kufata muongozo wa kuanzisha makala ulio bora mfano wa makala Prudencia Paul Kimiti makala hii hujaweka vyanzo, marejeo, ujaweka kiungo kuonyesha kama ipo kwenye lugha nyingine . Nitafuraishwa kama utairekebisha, Amani kwako!! Hussein m mmbaga (majadiliano) 01:36, 11 Oktoba 2023 (UTC)Reply

Kabisa. Inaonekana hujaweza kumudu vizuri lugha yetu. Namna hii usiendelee kuhariri makala. Unatupa kazi kubwa mno kurekebisha. Amina kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:14, 11 Oktoba 2023 (UTC)Reply
Habari nitafanya mabadiliko ya makosa yaliyo kuwepo lengo kuu kuku kiswahili Bora,Amani kwako!!@Edward ambele Edward ambele (majadiliano) 08:29, 11 Oktoba 2023 (UTC)Reply

Kurudia kuandika makala

hariri

Habari ndugu , hongera kwa kutoa mchango wako , lakini naona makala unazoanzisha tayari zimeshaandikwa tafadhali kuwa makini na makala unazo anzisha mfano lama language kwa kiswahili ni Kilama na makala tayari imeshaandikwa

Ukiwa una fanya tafsiri ya makala kutoka kingereza kwenda kiswahili hakikisha unaandalia kiungo cha lugha upande wa kushoto utakuta kuna lugha nyingi zimeandikwa pale ukiona lugha ya kiswahili hiyo makala inaonyesha hata kwenye kiswahili ipo Amani kwako!! Hussein m mmbaga (majadiliano) 12:47, 6 Machi 2024 (UTC)Reply

Amani sana nitakuwa mwangalifu kwahilo Edward ambele (majadiliano) 13:05, 6 Machi 2024 (UTC)Reply
Mbona unaendelea? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:25, 7 Machi 2024 (UTC)Reply
Hujambo katika fungio la jenifa limekumba tatizo kwenye akanti yangu niliomba kufunguliwa kwasababu alikuwa mwariri mpya naomba afunguliwe ili niweze fanya kazi tena nakumpa elimu ya kuhusu kuwariri kiswahili fasaa Amani sana -- Anuary Rajabu (majadiliano) 10:35, 9 Machi 2024 (UTC)Reply
habari @Hussein m mmbaga najaribu kuweka marejeo lakini nashindwa kuweka vema je! nitumie njia gani kaka Edward ambele (majadiliano) 18:12, 23 Aprili 2024 (UTC)Reply
Kuweka marejeo ni vile vile kama mwanzo nimejaribu kurekebisha makala zako zote hapo na unaweza kwenda kwenye mabadiliko ya hivi karibuni na kuangalia nilichobadilisha kwa kubonyeza "tofaut" amani kwako Hussein m mmbaga (majadiliano) 18:19, 23 Aprili 2024 (UTC)Reply
sawa Amani sana Edward ambele (majadiliano) 18:27, 23 Aprili 2024 (UTC)Reply

Mbegu

hariri

Ndugu, tafadhali usiweke mbegu ovyo! Mtu si filamu, si michezo, si sheria, ni mtu, hivyo weka {{mbegu-mtu}} au {{mbegu-igiza-filamu}} au {{mbegu-cheza-mpira}} n.k. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:37, 26 Machi 2024 (UTC)Reply

Naomba radhi sana kwakosahilo nitaweka sawa wakati mwingine Amani sana Edward ambele (majadiliano) 13:09, 26 Machi 2024 (UTC)Reply
Mbona unaendelea kuweka kigezo cha mbegu-michezo kwa mtu ambaye ni mwanamichezo lakini si mchezo? Unanipa kazi ya kurekebisha makala zako zote! Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:44, 27 Machi 2024 (UTC)Reply

Ukumbusho kuhusu kupiga kura sasa ili kuchagua washiriki wa U4C ya awamu ya kwanza

hariri
Unaweza kupata ujumbe huu ukiwa umetafsiriwa katika lugha za ziada kwenye Meta-wiki. Please help translate to your language

Ndugu Mwanawikimedia,

Unapokea ujumbe huu kwa sababu hapo kabla uliwahi kushiriki katika mchakato wa UCoC.

Huu ni ukumbusho kwamba kipindi cha kupiga kura kwa Kamati ya Kuratibu Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili (U4C) kitamalizika tarehe 9 Mei 2024. Soma maelezo kwenye ukurasa wa kupiga kura kwenye Meta- wiki ili kupata maelezo zaidi kuhusu upigaji kura na ustahiki wa mpiga kura.

Kamati ya Kuratibu Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili (U4C) ni kikundi cha kimataifa kilichojitolea kutoa utekelezaji sawa na thabiti wa UCoC. Wanajamii walialikwa kutuma maombi yao kwa U4C. Kwa maelezo zaidi na majukumu ya U4C, tafadhali pitia Mkataba wa U4C.

Tafadhali washirikishe ujumbe wanajumuiya wenzako ili nao waweze kushiriki.

Kwa niaba ya timu ya mradi wa UCoC,

RamzyM (WMF) 22:54, 2 Mei 2024 (UTC)Reply

Maelekezo Ya Muhimu Ya Kuzingatia Kuboresha Makala Zako

hariri

Habari, ndugu hongera sana kwa kuchangia vyema kila mara naomba nikupe maelekezo ya baadhi ya vitu unavyo kosea nabado hutaki kujirekebisha naomba nikuelekeze tena kabla sijakuzui

  1. Unapoandika makala kuhusu mada fulani au vitu fulani lazima ufanye utafiti wa jamii zake ni zipi , misamiati yake inatumikaje, kama ni michezo lazima ujue timu ni ipi na ligi ni ipi
  2. kama ni michezo kuna jamii za michezo angalia hapa Jamii michezo nchi kwa nchi
  3. Unapoandika neno kiungo lazima uweke kiungo cha ndani kuonyesha ni kiungo gani mfano kwa mchezaji kiungo unaweka hivi - kiungo
  4. Unapoandika tarehe nivyema kuweka kiungo cha ndani mfano : mei 14, 2005 unaweka hivi - mei 14, 2005
  5. Kwenye marejeo unayoweka unayatoa kwenye wikipidia ya kingereza yanakuja na lugha ambazo zinaleta jamii nyekundu angalia <ref> yako na uondoe sehem yenye (language=fr)
  6. Weka viungo vya lugha nyingine ili kusaidia watumiaji kupata makala kwa lugha zingine
  7. Angalia marekebisho anayofanya ndugu @Riccardo Riccioni kwenye makala zako na ufuate utajifunza vingi.
  8. Hakikisha unaonyesha Hakikisho la mabadiliko kabla ya kuchapisha

Hussein m mmbaga (majadiliano) 17:57, 7 Mei 2024 (UTC)Reply

sawa nitafana ivo Amani sana Edward ambele (majadiliano) 18:06, 7 Mei 2024 (UTC)Reply

Kurudi nyuma

hariri

Ndugu, makala zako za mwisho zinaonyesha kurudi nyuma kwa ubora. Tafadhali, legeza mwendo, fupisha makala na jitahidi kutafsiri vizuri zaidi. Asante na amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:23, 16 Juni 2024 (UTC)Reply

Amani sana @Riccardo Riccioni Edward ambele (majadiliano) 11:24, 16 Juni 2024 (UTC)Reply
Nimekuzuia kwa muda mfupi ili upate nafasi ya kuangalia nilivyosahihisha makala zako za leo, kwa sababu unarudiarudia makosa yaleyale... --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:49, 16 Juni 2024 (UTC)Reply
Salamu @Riccardo Riccioni nimepitia makosa yangu naomba Radhi unifungulie niendelee na marekebisho Amani! Edward ambele (majadiliano) 14:59, 16 Juni 2024 (UTC)Reply

Kigezo BD

hariri

Ndugu, nikupe elimu kidogo. Kigezo BD kinataja mambo mambo matatu kwa wakati mmoja. Ndani yake kina jamii ya kuzaliwa na kufa. Pia kinataja kama uko hai au la. Ukiandika BD|1967}} basi huyo mtu ni hai hivyo kigezo kitataja WALIOZALIWA 1967, WATU WALIO HAI. Ukiandika BD|1967|2024}} maana yake huyo mtu alizaliwa 67-24 hivyo itaunga jamii automatic ya waliofariki 2024. Ulichotakiwa kuongeza ni kigezo cha mbegu tu. Hukuona jamii ya waliozaliwa chini? Niulize lolote nitakufahamisha. Nipo kwa ajili yako. Muddyb Mwanaharakati Longa 05:55, 20 Juni 2024 (UTC) Reply

Salamu bwana @Muddyb Blast Producer nimejifunza kitu kwako Amani sana! Edward ambele (majadiliano) 06:01, 20 Juni 2024 (UTC)Reply

Umakinifu

hariri

Ndugu, unafanya makosa mbalimbali ya uzembe tu. Legeza mwendo, tafadhali, ili makala zako zisihitaji masahihisho mengi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:13, 24 Juni 2024 (UTC)Reply

Salamu @Riccardo Riccioninaomba nifanyie kazi hili Amanisana!--@Edward ambele Edward ambele (majadiliano) 10:22, 24 Juni 2024 (UTC)Reply
Ndugu, usianzishe kurasa zenye istilahi ngumungumu kama za sayansi: zinakushinda. Afadhali zile rahisi zinazofanana, kama za wachezaji au za miji. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:19, 20 Julai 2024 (UTC)Reply

Stop creating user pages against the wishes of editors

hariri

This is vandalism. Ldm1954 (majadiliano) 06:37, 24 Julai 2024 (UTC)Reply

Am I wrong to welcome people or is there a part I am doing wrong; I ask for an explanation Edward ambele (majadiliano) 06:42, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
You are creating pages for people who have no interest in having one. This is vandalism. Ldm1954 (majadiliano) 06:52, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
The message is a bit vague. What do you mean by saying pages? Looks like he was adding a welcome tag to your talk page. MuddybLonga 07:13, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
I think I know what's problem here. Well, it's not a problem to welcome newbies. I can do the same. It's just a welcome tag. No hard feelings. Karibu sana! MuddybLonga 07:15, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
It is spam. I have > 8000 edits on the English wiki with 3 GA. Please remove my entry from this wiki, I never put it here. Ldm1954 (majadiliano) 07:22, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
Then I should perhaps delete the user page? Any fair suggestion? MuddybLonga 07:35, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
Yes, delete on this wiki please. Ldm1954 (majadiliano) 07:41, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
Ndugu Edward, pamoja na juhudi zako za kukuza Wikipedia yetu unaona lawama hizo. Labda hata watumiaji wengi wa Wikipedia za lugha nyingine walitushangaa bila kulalamika. Mimi niliona unakaribisha watu wengi, ila nilifikiri ni wale ambao marehemu Kipala alisema walijiandikisha kwetu miaka iliyopita wasitumiwe maelekezo. Kumbe umeparamia Wikipedia ya Kiingereza na watumiaji wake! Lebo ya karibu ni kwa wale tu waliojisajili katika lugha yetu. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:29, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
In fact @Edward ambele may not be fully at fault here. He should have checked that the users were active first, but the real issue is why all these accounts got created. There are clearly many which were created on July 23rd for, it seems, no good reason. Ldm1954 (majadiliano) 13:46, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
Hello Ndugu Riccardo, nimejaribu kufuatili tena kuona kwanini imetokea, baadhi ya watumiaji wa Wikipedia ya KIswahili, wanatumia ukurasa huu wa Kumbukumbu za kuanzisha akaunti za watumiaji kwa ajili ya kuangalia watumiaji wapya waliojiunga, na huo ukurasa huwa unaleta taarifa tofauti tofauti, mfano taarifa ta mtumiaji Ldm1954 ,inaonyesha ni account iliyoanzishwa na mashine mnamo tarehe 23 Julai 2024, inawezekana ndio sababu kubwa akawa ametumiwa ujumbe wa kukaribishwa.
Ukurasa unaonyesha majina ya watumiaji wengi wapya waliojiunga,hebu jaribu kutazam tena na wewe ,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 13:50, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
Who is "the machine"? I never requested this, almost certainly the others did not join. Someone did a crowdstrike update. Ldm1954 (majadiliano) 13:54, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
I dont know,but lets try to check how is happen in Swahili Wikipedia,if you have an idea, we can know how to solve it Idd ninga (majadiliano) 14:00, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
Addendum. What has happened is that accounts/pages from Wikipedia have been copied to the swwiki, see sw:Mtumiaji:Muhammed amine benloulou, and similar on the list.
"What you see on this page was copied from https://meta.wikimedia.org/wiki/User:Muhammed_amine_benloulou"
Either someone released a bit on wikimedia to do this or on swwiki. Ldm1954 (majadiliano) 12:23, 25 Julai 2024 (UTC)Reply
Global userpages do not cause account creations and they are only displayed if a local account already exists. For example, meta:User:Muhammed amine benloulou is not displayed at da:User:Muhammed amine benloulou. mw:Help:Import is an unrelated feature which can cause account creation but according to Special:Logs/import, this wiki doesn't use it. I found a likely explanation [1] for Ldm1954 clicking a link to this wiki without knowing the language. This would have created the account. PrimeHunter (majadiliano) 12:44, 25 Julai 2024 (UTC)Reply
sawa nimeweza kupata kitu natakuwa makini kwahilo Edward ambele (majadiliano) 14:09, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
Hello Ldm1985,
I noticed that there are many new users on Swahili Wikipedia, as seen on this page: [New Users on Swahili Wikipedia](https://sw.wikipedia.org/wiki/Maalum:Kumbukumbu/newusers).
ALso,there are a lot of notifications of new users users who have recently joined.maybe other users do while they do not understand well what to do
We will look into these challenges and discuss how to properly welcome them,thanks for your information, we got something, Idd ninga (majadiliano) 13:58, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
NO. As mentioned above someone or some software has added these users without their permission. Some of these accounts have been globally blocked, so this (my speculation) could be wider vandalism. I have posted to here for EPIC (talk) who it appears has been handling some of those blocks, so may have more expertise.
N.B., I have not looked at other Wikis to see if this is just local or global. Ldm1954 (majadiliano) 14:07, 24 Julai 2024 (UTC)Reply
This wiki gets around 20 new accounts daily.[2] The 23 July accounts were spread out over the day as usual and I see nothing special here. However, it annoys a lot of users to get welcome messages from wikis they have never edited and don't recall visiting. We get many complaints and concerned questions about it at the English Wikipedia. I have a proposal to disallow it at meta:Welcoming policy. It hasn't received much attention but everybody I have seen comment on the issue there and elsewhere dislike such welcome messages. PrimeHunter (majadiliano) 11:27, 25 Julai 2024 (UTC)Reply
As I support the general notion, I think we, as a community, should come to an agreement to address the user in question. I have been editing for a very long time, but I have never sent any welcome messages to random people, especially those who do not contribute anything to our wiki MuddybLonga 12:52, 25 Julai 2024 (UTC)Reply

Kupitia masahihisho

hariri

Ndugu, hongera kwa juhudi zako. Maendeleo yapo, ila naomba upitie mabadiliko ya makala zako kwa sababu unarudiarudia makosa yaleyale nami nalazimika kurudiarudia masahihisho yaleyale. Ningekuwa na muda zaidi ningeboresha zaidi lakini naishia kufanya yaliyo muhimu zaidi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 15:05, 17 Oktoba 2024 (UTC)Reply

  1. na kumalizika na