Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Karibu katika Wikipedia hariri

Ndugu,
Karibu katika Wikipedia ya Kkiswahili.
Nimeona juhudi zako katika kukuza makala za muziki. Hakika nimepata mwenza. Sasa basi, badala ya kumangamanga na kubananga mambo, heri na uzuri uulize ukiona inafaa. Mara nyingi utaniona mimi, Riccardo, Kipala na Baba Tabita! Sote tupo kwa ajili yako mchangiaji mpya. Tutaulizana maswali pale ikiwa inafaa. Uliza swali lolote kuhusu Wikipedia, uandishi na kadhalika tutakusaidia kwa moyo mmoja.
Kutoka Dar es Salaam, Tanzania, niite:
--MwanaharakatiLonga 05:38, 28 Novemba 2017 (UTC) Reply

Ndugu,
Asante kwa kunikaribisha Wikipedia ya Kkiswahili.
Ntakua nauliza maswali ikifaa.ila huku "admin" wako wachache sana Boy Addi (majadiliano) 06:01, 28 Novemba 2017 (UTC)
Reply

Tuko! Kwa ajili ya mambo ya muziki anwani #1 ni MuddyB, pia admin. Menginevyo - niko pia. Kipala (majadiliano) 09:02, 30 Novemba 2017 (UTC)Reply

Wasafi na Rockstar hariri

Wasafi ni studio na lebo kwa pamoja. Rockstar sio studio, ni lebo tu kwa ajili kusimamia kazi za wasanii na usambazaji wake. Wasanii wa Rockstar ni Barakah the Prince na Ommy Dimpoz ambao sasa ndio hasa wanajulikana. Japo Dimpoz ana lebo yake ya Pozi kwa Pozi Entertainment, lakini kwa lengo la kukuza muziki na malengo kutimia, kaamua kujiunga na Rockstar.--MwanaharakatiLonga 07:02, 28 Novemba 2017 (UTC) Reply

Document your culture with Wiki Loves Love 2019 and win exciting prizes! hariri

 

Please help translate to your language

Africa has many beautiful festivals, ceremonies and celebrations of love and we need your help to document these! They are the core part of African culture and in order to make sure this way of life followed by our ancestors remain among us, we need to have them online to make sure they are preserved. Join hands with Wiki Loves Love that aims to document and spread how love is expressed in all cultures via different rituals, celebrations and festivals and have a chance to win exciting prizes!! While uploading, please add your country code in the Wikimedia Commons upload wizard. If you want to organize an on-site Wiki Loves Love event, then contact our international team! For more information, check out our project page on Wikimedia Commons.

There are several prizes to grab. Hope to see you spreading love this February with Wiki Loves Love!

Imagine...The sum of all love!

Wiki Loves Love team 07:34, 4 Februari 2019 (UTC)