Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Kipala (majadiliano) 11:28, 10 Agosti 2011 (UTC)Reply

makala ya Web design hariri

Ndugu Kipsizoo, sijaona mabadiliko yako katika makala hii. Angalia historia ya makala: http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Web_design&action=history - hujahariri. Kwa vyovyote, mpaka neno la 'web design' itafsiriwe lenyewe kwa vile ni Kiingereza na siyo Kiswahili. Nilivyokuandikia kwenye Twitter: Uangalie ujumbe wa 'karibu kwenye wikipedia' hapo juu na kufuata viungo vya kurasa za msaada. Tusonge mbele! --Baba Tabita (majadiliano) 16:00, 18 Agosti 2011 (UTC)Reply

HIV/AIDS mradi hariri

Ukarasa hapa Rich Farmbrough

Derby Museum and Art gallery hariri

Hujambo Kipsizoo? Though I don't speak kiswahili myself, I was very happy to see your translation "Nyumba ya sanaa Kwenye Makavazi ya Derby" and I asked my brother to proofread this article - hope his changes are accurate - if not, feel free to revert. Kwa heri! Dominik --89.224.174.28 12:53, 1 Septemba 2011 (UTC)Reply

Good morning hariri

Nice to see you up and editing so early.   Rich Farmbrough , 08:49, 2 Novemba 2011 (UTC).Reply

Does this make sense? hariri

Please help: replace this red text with a translation of the English message below. Thank you!
@MonmouthpediA announces the Charles Rolls Challenge

This is the first multilingual Wikipedia collaboration to create a Wiki-Town. All Wikipedians can take part, in any language. The challenge runs from 1 March until the 19th of April 2012. (Prizegiving webstreamed on 21st April).
[Sign up now!]
"Can you imagine a Wiki Project that involves 1,000 QRpedia codes and free WiFi?"

Hi Kosgei - can you tell me if this works on your wiki? If it does then can you copy to the Swahili Village Pump? Thanks Victuallers (majadiliano) 13:21, 29 Februari 2012 (UTC)Reply