Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko: usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo). Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.) nor copied texts/images from other webs to this site! And do not use links to commercial pages. As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

MwainishoEdit

Kucbka salaam. Niliona kama ulibadili makala za masokwe. Nikarejesha hariri zako kadhaa lakini ukatengua vile nimefanya. Sipendi kuanza vita ya kuhariri, kwa hivyo nakuuliza kwanza kwa nini unashikilia kuweka majina ya Kiswahili mbele ya majina ya kisayansi? Kwa kawaida, katika mwainisho, majina ya kisayansi huwekwa mbele. Ukiangalia makala nyingine za wanyama au mimea, utaona hii. Tafadhali tuendelee na mfumo huu. ChriKo (majadiliano) 15:13, 3 Oktoba 2015 (UTC)

Usiogope kujibu!Edit

Mpendwa, tunafurahi kuwa na mhariri mpya anayependa habari za biolojia! Ila tzu kama unapokea hapa ujumbe usisite kujibu! Hivyo ndivyo tunavyoshirikiana. (In case your Kiswahili is not so strong: We are happy to have a new contributor about biological - zoological topics. But please do not be afraid to react if you get a message here. You can write in English, too. That is how we cooperate to make our wikipedia better!) Kipala (majadiliano) 13:06, 9 Januari 2018 (UTC)