Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Kipala (majadiliano) 09:00, 4 Oktoba 2016 (UTC)Reply

Ndugu, umeanza kuhariri na karibu sana! Umeona ya kwamba mchangiaji mmoja aliona sehemu ya michango yako haifai. Ni kweli ya kwamba ulichoingiza kwa Rwekaza Mukandala haifai. Maana hujaleta habari yoyote kuhusu mtu mwenyewe. Kumtakia mtu chochote (heri au jehenam au paradiso) haina nafasi katika kamusi elezo. Pia hatuandiki majina yetu kama wachangiaji. Tatizo ni vile kwa Usimamizi wa raslimali watu maana hakuna habari ndani yake ambayo yanaeleza chochote. Pamoja na tatizo la tahajia maana ukijua kitu juu ya jambo heri kutumia tahajia sahihi "rasilmali" (ambayo si tatizo kubwa mno maana kama umeandika habari za maana wengine wanaweza kusahihisha pia). Nyongeza yako kuhusu Korongo Domo-wazi‎ ilikuwa sawa kabisa, asante!. Soma maelezo yaliyotajwa juu na karibu kuchangia habari kamili! Kipala (majadiliano) 09:03, 4 Oktoba 2016 (UTC)Reply

@Kipala: I'm sorry for that, but I have intentions good for this wiki. (:Murbaut (majadiliano) 09:33, 4 Oktoba 2016 (UTC)Reply
Asante kwa jibu. Hakuna haja ya kuomba samahani! Sisi sote tunajitolea hapa, na makosa ni jambo la kawaida. Muhimu ni kusikizana na kushauriana na kuendelea kujenga. Kwa hiyo: michango yako ya kusahihisha, kuongeza na kadhalika yanakaribishwa! Tafakari ni katika nini unapojua kitu, wapi unaweza kusaidia kwa kuongeza, kwa kutafsiri makala kutoka lugha nyingine (Kiingeeza?) hata kama ni sehemu tu, au kusaidia kusahihsha makala yenye kasoro.Kipala (majadiliano) 22:42, 4 Oktoba 2016 (UTC)Reply
Mzee wangu, unapoteza nguvu zako buuure kabisa! Hajui Kiswahili wala hajataja katika uso wa ukurasa wake. Pole sana! Mbadilishie lugha mutaelewana!--MwanaharakatiLonga 07:19, 5 Oktoba 2016 (UTC)Reply
Nahisi unasema kweli. Ila tu wakati mwingien nina muda wa kupoteza! Kipala (majadiliano) 22:18, 5 Oktoba 2016 (UTC)Reply