Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--Mr Accountable (majadiliano) 11:37, 31 Machi 2010 (UTC)Reply

jina langu ni Christian Dubois, Ubelgiji na mimi kuishi katika Brussels. Kifaransa, mimi kusema Kiingereza, wallon na mimi kufanya vizuri katika Kiswahili (Kenya na Tanzania). Mimi pia najua kidogo tu, dholuo. Kama wazazi wangu walikuwa joLuo (badala ya Anglo-Kiholanzi-Ubelgiji), shaka aitwaye Omondi (ambayo katika dholuo maana yake ni "mtu aliyezaliwa mapema asubuhi"). Rafiki yangu joLuo "Aluso" pia kupiga simu yangu (maana ya "nzuri", "utulivu").

Hi Omondi, I would like to request you not to continue editing on your own. Your knowledge of Kiswahili is not yet sufficient to get out one straight sentence. I do not want to discourage you, but please do use a sand box and then ask me or Muddy to check and correct or advise you before uploading into the article space. Once it is there it may not be discovered for a long time and we already have enough incomprehensible attempts by wellmeaning people who overestimate their Kiswahili. Kipala (majadiliano) 16:19, 20 Aprili 2012 (UTC)Reply

en:user:Omondi fr:utilisateur:Omondi

Omondi (talk) 21:59, 15 July 2010 (UTC)

't Hoeveke hariri

No, no! This is not okay. I guess Kipala heads you up about the language. Please don't continue with this, rafiki. You can consult with us right before to up-load the article. Karibu sana.--MwanaharakatiLonga 07:04, 21 Aprili 2012 (UTC) Reply