Makari I wa Aleksandria
Makari I wa Aleksandria (alifariki 953) kuanzia mwaka 933 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 59 wa Kanisa la Kikopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |