Makumbusho ya Garissa

Makumbusho ya Garissa (kwa Kiingereza: Garissa Museum) ni makumbusho yanayopatikana kaskazini mashariki mwa nchi ya Kenya.[1]

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Museums in Kenya". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-12-23. Iliwekwa mnamo 2020-05-02.