Jumba la Mtwana
Jumba la Mtwana ni eneo la nchini Kenya lililoko katika pwani ya bahari ya Hindi huko Mtwapa Creek, Malindi katika kaunti ya Kilifi, kaskazini kwa Mombasa.
Historia
haririKulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kusini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.
Eneo hilo la kihistoria lina kumbukumbu za akiolojia kuanzia katika karne ya 14[1] huku vipengele vyake vikijumuisha na msikiti.
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ "Jumba la Mtwana, the ancient Swahili stone town". Daily Nation.
Viungo vya nje
hariri- media kuhusu Jumba la Mtwana pa Wikimedia Commons
3°57′00″S 39°46′00″E / 3.95°S 39.7667°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jumba la Mtwana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |