Makumbusho ya Kabarnet
Makumbusho ya Kabarnet ni makumbusho yanayopatikana Kabarnet, kaunti ya Baringo, nchini Kenya.[1] Yanahusu makabila ya Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.

Tazama pia hariri
Marejeo hariri
- ↑ Kabarnet - Historical Background. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-12-18. Iliwekwa mnamo 2020-05-02.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Kabarnet kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |