Malambo (maana)
Malambo inaweza kumaanisha:
- wingi wa lambo, ambalo ni ukuta wa kuzuia mwendo wa mto na kufanya bwawa litokee
- Malambo, kata ya Wilaya ya Bariadi katika Mkoa wa Simiyu, Tanzania
- Malambo (Ngorongoro) ni kata ya Wilaya ya Ngorongoro katika Mkoa wa Arusha, Tanzania.
- Mto Malambo (Katavi)
- Mto Malambo (Arusha)