Manekilde (pia: Manechildis, Manehould, Ménehould; Perthes, Ufaransa, karne ya 5 - Bienville, Ufaransa, 490/500) alikuwa bikira Mkristo aliyejitoa kwa Mungu pamoja na dada zake wote 6[1] kumpitia askofu Alpino wa Chalons[2].

Kikanisa na sanamu yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Oktoba[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.