Manga Pwani ni kata ya Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B' katika Mkoa wa Kaskazini Unguja, Tanzania.

Mangapwani
Mahali pa Manga Pwani upande wa kaskazini mwa Jiji la Zanzibar

Jina Manga Pwani (au Mangapwani) linamaanisha "Pwani la Waarabu"[1]

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 1,469 waishio humo. [2]

Manga Pwani imeteuliwa kama mahali pa bandari mpya inayotarajiwa kujengwa kwa ushirikiano kati ya serikali ya Zanzibar na Omani. Bandari hiyo imepangwa kuwa bandari kuu badala ya bandari iliyopo sehemu za Malindi, mjini Zanzibar.

Marejeo hariri

  1. linganisha Madan, Swahili-English dictionary, Oxford 1903. uk. 207 "Manga, n. a name of Arabia, esp. the region of Muscat in the Persian Gulf. It is used to describe various objects connected with or derived from Arabia, e. g. pilipili manga, black pepper. Mkoma manga, pomegranate tree. Njiwa manga, a variety of pigeon. Jiwe la manga, a kind of whetstone"
  2. Ripoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002 (en). Serikali ya Tanzania. Jalada kutoka ya awali juu ya 2003-12-28.
  Kata za Wilaya ya Unguja Kaskazini 'B' - Mkoa wa Unguja Kaskazini - Tanzania  

Donge Karange | Donge Mbiji | Donge Mtambile | Donge Pwani | Donge Vijibweni | Fujoni | Kidanzini | Kilombero | Kinduni | Kiombamvua | Kiongwe Kidogo | Kisongoni | Kitope | Kiwengwa | Kwagube | Mafufuni | Mahonda | Majenzi | Makoba | Mangapwani | Matetema | Mbaleni | Mgambo (Unguja) | Misufini | Mkadini | Mkataleni | Mnyimbi | Njia ya Mtoni | Pangeni | Upenja | Zingwezingwe


  Makala hii kuhusu maeneo ya Unguja bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Manga Pwani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.