Kwa matunda yenye jina hili angalia makala kuhusu Pera


Kata ya Mapera
Nchi Tanzania
Mkoa Ruvuma
Wilaya Mbinga
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 11,707

Mapera ni kata ya Wilaya ya Mbinga katika Mkoa wa Ruvuma, Tanzania, yenye postikodi namba 57432. Kabla ya kupandishwa hadhi (2010) na kuwa kata, Mapera ilikuwa kijiji kimojawapo cha kata ya Maguu.

Kata ya Mapera inaundwa na vijiji vya Mkinga , Kihongo, Lukanzauti na Mapera yenyewe ambayo ni makao makuu ya kata.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 11,707 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,513 waishio humo.[2]

Wakazi asili wa Mapera ni wa kabila la Wamatengo.

Marejeo

hariri
  Kata za Wilaya ya Mbinga - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania  

Amani Makoro | Kambarage | Kigonsera | Kihangi Mahuka | Kipapa | Kipololo | Kitumbalomo | Kitura | Langiro | Linda | Litembo | Litumbandyosi | Lukarasi | Maguu | Mapera | Matiri | Mbuji | Mhongozi | Mikalanga | Mkako | Mkumbi | Mpapa | Muungano | Namswea | Ngima | Nyoni | Ruanda | Ukata | Wukiro


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mapera (Mbinga) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.