Maporomoko ya Maji Materuni

Maporomoko ya Maji Materuni ni moja ya maporomoko ya maji katika Mto Mware (kata ya Uru Mashariki, Wilaya ya Moshi Vijijini, mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania Kaskazini Mashariki). Yanapatikana katika kijiji cha Materuni pembezoni mwa hifadhi ya mlima Kilimanjaro.[1]

Maporomoko ya Maji Materuni.
Mtalii wa ndani akifurahia Maporomoko ya Maji Materuni.

Marejeo hariri

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-09-22. Iliwekwa mnamo 2020-01-31.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons