Korongo (Ciconiidae)
Ndege wakubwa wa familia Ciconiidae
(Elekezwa kutoka Marabu)
Korongo | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 6 na spishi 19:
|
Korongo hawa ni ndege wa familia ya Ciconiidae wenye domo refu na nene (korongo wa familia ya Gruidae wana domo fupi na jembamba zaidi). Wanaitwa kongoti pia, hususa korongo mfuko-shingo. Mabawa yao ni marefu sana, yale ya korongo mfuko-shingo yana m 3.2: marefu kuliko yale ya ndege wote ghairi ya tumbusi wa Andes (Andean condor).
Spishi nyingine huishi mahali pa majimaji nyingine mahali pakavu. Hula vyura, samaki, wadudu na nyungunyungu, hata ndege na wanyama wadogo. Korongo hawa hawawezi kutoa sauti. Lakini kwa tago hupiga kelele na domo yao.
Spishi wa Afrika
hariri- Anastomus lamelligerus, Korongo Domo-wazi (African Openbill Stork)
- Anastomus l. lamelligerus, Domo-wazi wa Afrika (African Openbill Stork)
- Anastomus l. madagascariensis, Domo-wazi wa Madagaska (Madagascan Openbill Stork)
- Ciconia abdimii, Korongo Samawati (Abdim's Stork)
- Ciconia ciconia, Korongo Mweupe au Kuyu (White Stork)
- Ciconia episcopus, Korongo Shingo-sufu (Woolly-necked Stork)
- Ciconia e. microscelis, Korongo Shingo-sufu wa Afrika (African Woolly-necked Stork)
- Ciconia nigra, Korongo Mweusi (Black Stork)
- Ephippiorhynchus senegalensis, Korongo Domo-ngazi (Saddle-billed Stork)
- Leptoptilos crumenifer, Korongo Mfuko-shingo, Kongoti au Marabu (Marabou Stork)
- Mycteria ibis, Korongo Domo-njano (Yellow-billed Stork)
Spishi wa mabara mengine
hariri- Anastomus oscitans (Asian Openbill Stork)
- Ciconia boyciana (Oriental White Stork)
- Ciconia maguari (Maguari Stork)
- Ciconia stormi (Storm's Stork)
- Ephippiorhynchus asiaticus (Black-necked Stork)
- Jabiru mycteria (Jabiru)
- Leptoptilos dubius (Greater Adjutant)
- Leptoptilos javanicus (Lesser Adjutant)
- Mycteria americana (Wood Stork)
- Mycteria cinerea (Milky Stork)
- Mycteria leucocephala (Painted Stork)
Picha
hariri-
Korongo domo-wazi
-
Korongo samawati
-
Korongo mweupe
-
Korongo shingo-sufu
-
Korongo mweusi
-
Korongo domo-ngazi
-
Korongo mfuko-shingo
-
Korongo domo-njano
-
Asian openbill stork
-
Oriental white stork
-
Maguari stork
-
Storm's stork
-
Black-necked stork
-
Jabiru
-
Greater adjutant
-
Lesser adjutant
-
Wood stork
-
Milky stork
-
Painted stork