Maria Wang Lizhi (Fancun, 1851 hivi - Daning, 22 Julai 1900) alikuwa mwanamke wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa.

Wafiadini Wakatoliki wa China.

Baadhi ya Wapagani walijaribu kumuokoa kwa kusema si Mkristo, lakini mwenyewe alijitangaza wazi kuwa mtumishi wa Yesu Kristo na kwa sababu hiyo akauawa mara [1].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe 22 Julai[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.