Mariana wa Molokai

(Elekezwa kutoka Marianne Cope)

Mariana wa Molokai au Marianne Cope (jina la awali kwa Kijerumani likiwa Maria Anna Barbara Koob; Heppenheim, Hesse, 23 Januari 1838 - Kalaupapa, Hawaii, leo nchini Marekani, 9 Agosti 1918) alikuwa mtawa wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.

Mt. Marianne Cope muda mfupi kabla hajahamia visiwa wa Hawaii (1883).
Mama Marianne Cope karibu na jeneza la Damiano wa Molokai.
Mama Marianne Cope (katika baiskeli) siku chache kabla hajafariki dunia.

Alipata umaarufu kwa kuhudumia wakoma hadi kifo chake, mmojawao Damiano wa Molokai.

Papa Benedikto XVI alimtangaza mwenye heri tarehe 14 Mei 2005 na mtakatifu tarehe 21 Oktoba 2012.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Januari[1], au 15 Aprili au 9 Agosti[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.