Mario wa Bodon
Mario wa Bodon (pia: Marino; Orleans, Ufaransa, karne ya 5 - Sisteron, Ufaransa, 27 Januari 555) alikuwa abati wa monasteri aliyoianzisha huko Bodon, Drome, mwaka 506[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 27 Januari[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |