Marselino, Manea na wenzao

Marselino, Manea na wenzao Yohane, Serapioni na Petro (walifariki Tomi, leo Constanta, nchini Romania, karne ya 4) walikuwa Wakristo wa Dola la Roma waliouawa kwa ajili ya imani yao[1].

Wawili wa kwanza walikuwa mume na mke, wa tatu mtoto wao, wa nne padri na wa tano askari.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 27 Agosti[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92758
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.