Martino wa Saujon
Martino wa Saujon (alifariki Saujon, Akwitania Mpya, leo nchini Ufaransa, karne ya 5) alikuwa mmonaki padri anayetajwa kama abati wa monasteri[1].
Inasemekana alikuwa mfuasi wa Martino wa Tours; huyo alipofariki dunia, mwanafunzi wake alikwenda kuanzisha monasteri kwake[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |