Martino wa Vertou
Martino wa Vertou (Nantes, 527 hivi - Durin, 601 hivi[1]) alikuuwa shemasi aliyetumwa na askofu Felisi wa Nantes kuinjilisha eneo la Retz (Ufaransa).
Baada ya kuishi kama mkaapweke msituni, alipata wafuasi akawa abati wao [2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |